[1] Miongoni mwa rejea ya hadithi ya vizito viwili ni Kanzul-Ummal Juz. 1 uk. 44, MusnadAhmadJu 2.5 uk.182.

[2] Hadith ya Safina ya Nabi Nuhu: Mustadrak ya Al-hakim Juz. ya Tatu uk. 151, Talkhis ya Ad-dhahabi, As-sawaiqul-Muhriqah ya Ibn Hajar uk. 184 na 234.

[3] Khulafaur-Rashiduna: Abu Bakr, Omar, UthmannaAli.

[4]  Sharhya lbn Abil-HadidJuz.8uk.Hl

[5] Tarikh Al-Yakubi Juz. 2 uk.106

[6] Futuhul-Bul-Dan uk.437.

[7]SahihBukhariJuz.luk.52.

[8] Tarikh At-Tabari, Tarikh Ibn AI-Athir.

[9] Al-Imamah was-Siyasah cha ibn Qutaibah

[10]  (3) Rejea An-Nas wal-Ijtihad

[11] Sahihi Bukhari Juz.4 uk.94, 99, 156 naJuz. 3 uk.32, Sahih Muslim, Juz.7 uk. 66 Hadithi ya Haudh.

[12] Sahihi Bukhari Juz.4 uk.94, 99, 156 naJuz. 3 uk.32, Sahih Muslim, Juz.7 uk. 66 Hadithi ya Haudh.

[13] Hadithi hii wameiandika Bukhari ndani ya Sahihi yoke Juz.4 uk. 187 na Muslim ndani ya Sahihi yoke Juz.8 uk.57, pia Imam Ahmad Ibn Hanbal ndani ya Musnad yake Juz.S uk.84 na 94.

[14] Wakati nikiandika maandiko haya, katika Tarehe hii, papa Yohana wa pili jana alitembelea Kanisa la Kiyahudi katika juhudi za kuleta masikilizano kati ya Wayahudi na Wakristo, kwa lengo la kuwatakasa Wayahudi kutokana na mauajiya Masia na kwamba wayasahau yaliyopita na waafikiane kuupiga Uislamu na Waislamu.

[15] Tarekh Baghdad Juz. I uk. 133.

[16]Ahlus-Suffah: Ni watu wanyonge waliokuwa wakikaa katika baraza la Msikiti wa Mtume (s.a.w.}.

[17] Sahih Muslim Juz. 2 uk. 730, Musnad Imam Ahmad Ibn Hanbal.

[18] Sahih Bukhari Juz.2 uk.106, Bubu Manaqib Qarabat Rasulillah (s.a.w.).

[19] Sahih Bukhari Juz.l uk.127, 130 na Juz.2 uk. 126 na 205.

[20]Sahihi Bukhari Juz. 3 uk. 39.

[21]  (2) Tarikh At-Tabari Juz. 4 uk. 407, Tarikhibn Al-Athir Juz. 3 uk. 206, Lisan Al-Arab Juz. 14 uk. 193, Taj Al-Arus Juz. 8 uk. 141, Al-IqdAl-FaridJuz.4 uk. 290.

[22] Al-Imamah Was-Siyasah

[23] (1) Sahih Muslim Juz. 1 uk. 48

[24] "Muakhatus-Sughra" = Waislamu kuunganishwa Udugu.

[25]  "Muakhatul-Kubra"= Waislamu kuunganishwa Udugu.

[26] Tadhkiratul-Khawas cha As-SibtiAl-Jauzi uk.23, Tarikh Damishq cha ibn Asakir Juz. 1 uk. 107, Al-Manaqib cha Al-Khawarzami uk.7, Al-Fusulu Al-Muhimah eha ibn Sabbaqh Al-Malik uk. 21.

[27] Tamko la Mtume lisemalo "Kitabu cha Mwenyezi Mungu na kizazi changu" limekuja kwa sanadi ya Mtume (s. a. w.), ama tamko la "Sunna Yangu" haliko katika Sihahi yoyote miongoni mwa Sihahi sita, bali aliyeandika hadithi hii kwa tamko hili ni Malik Ibn Anas ndani ya Muwataa yake na amelinukuu katika mazingira ya Mur-sali na siyo Sanadi, kisha wengine nao wamechukua toka kwake kama Tabari na Ibn Hisham nao wameinakili hivyo hivyo kama ilivyokuja toka kwa Malik.

[28] Tabaqat Ibn Saad sehemu ya pili katika juzuu ya 2 uk. 29.

[29] Mfano m pale alipoidhinisha talaka tatu (zinazotole'wa kwenye kikao kimoja kuwa m talaka tatu) Taz: Sahih Muslim Babu Talaqithalathi, Sunan Abi Dawood Juz. 1 uk. 344.

[30] Mfano ni kuharamisha kwake Hijaya Tamatui na ndoayaMut'a. Taz:

Sahih Muslim Kitabul-Haj, Sahih Bukhari Kitabul-Haj Babut-Tamatui.

[31] Siku ya Ashura ni siku aliyouawa Imam Husein ibn Ali Mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (s.a.w.}, aliuawa na majeshi ya Yazid ihn Muawiya ibn Abi Sufiyan.

[32] Sahih Bukhar Juz. 4 uk. 164, Sahih Muslim uk. 119 Babu Annas Tabaun-Liquraish.

[33] Yanabuil-Mawaddah cha Al-Qanduzi Al-Hanafi.