TUKIO LA HARRA

Muawia alipokuwa karibu atakufa, alimuusia mwanawe Yazid kuwa:

"Tahadhari sana na watu wa Madina hasa Husein. Ukiona mambo yanabadilika haraka mpeleke Muslim bin Uqba."

Jeshi la Muslim liliingia Madina likabaki hapo kwa muda wa siku tatu, binadamu wengi sana waliuliwa, na wasichana bikira elfu moja walinajisiwa na jeshi hilo.

Taz: Al'bidayatu Wannihaya J.6 Uk. 239
Tarikhut Tabari J.4 Uk. 374