ABU BAKR

Aliposhika utawala Abubakr, alitoa hutuba kwa mara ya kwanza, na hii ni sehemu ya hutuba hiyo "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara basi wakati wo wote atakaponifikia muniepuke".

Taz: Tarikhut Tabari J.2 Uk. 460

Mwenyezi Mungu anasema "Hakika sisi tumewajaalia mashetani kuwa marafiki wa wale wasioamini" 7:27

Abubakr anae shetani, na kila mwenye kuambatana na shetani si muumin, Abubakr ni nani?

Mwenyezi Mungu anasema: "Na yule ambaye amekuwa shetani ndiye rafiki yake, basi ana rafiki mbaya sana" 4:38