WALIOSEMA KUWA HAIPO

Mizani ya kupima riwaya zilizo tajwa hapo juu kuonyesha kuwa kuna baadhi ya amma sura au aya zilizopotea, riwaya hizo na za mfano wa kama hizo ni batili, Mwenyeezi Mungu anasema:- (Qur'an) "Haitaifikia batili mbele yake wala nyuma yake" 41:42 "Hakika sisi tumeiteremsha Qur'an, na hakika sisi ndio wenye kuilinda" 15:9. Hii ndio itikadi ya Shia Ithna Ashar.

Taz: Al'I'tigad J. 1 Uk. 16

Tafsir Aalair Rahman J. 1 Uk. 25

Albayan fit'tafsiril Qur'an Uk. 213

Tafsirul Qur'an, assayid shubbar Uk. 17