Thawbar ibn Abi Fakhnah

Yeye alikuwa ni mtumwa aliyefanywa huru na Umm Hani, binti yake Bwana Abu Talib a.s. (dada yeke na Amir al-Mu'minin Imam Ali a.s.) Dhahabi amemwelezea kwa kusisitiza kuwa huyo ni rafidhi ; yeye alikuwa ni mfuasi halisi wa Imam Muhammad al-Baquir a.s., riwaya zitokanazo na yeye zinapatikana katika Sahih al-Tirmidhi.