rudi maktaba >Fiqh >Yaliyomo >

 

KHULASA

  • Mut'a ilikuwako wakati wa Mtume.
  • Ndoa hiyo si upuuzi, hasha Mtume S.A.W. kuruhusu upuuzi.
  • Si kosa kuwa haina shahid, Walii, chakula wala kurithi.
  • Hata ndoa za daima, kwa Sunni huwa hivyo.
  • Dharura iliyowekewa Mut'a mpaka leo iko, kwa hivyo lazima iendelee.
  • Baadhi ya masheikh wa kisunni wanakubali kuwa dharura iko, lakini wao wanapendelea kujipuli na kuhadaa. LIPI BORA!!