rudi maktaba > Fiqh > Yaliyomo >

Dua ya Kuuaga Mwezi wa Ramadhan

Ni Sunna ya Mtume (s.a.w.) aliyomfunza Jabir bin Abdillahi Al Ansariy kuwa, katika Juma ya mwisho ya Ramadhani, maneno haya yasomwe:

Ee Mola: Usiijaalie Ramadhani ya mwaka huu kuwa ndiyo mwisho wetu wa kufunga. Kisha ninakuomba Unijaalie niwe mwenye kurehemewa wala Usinijaalie kunyimwa (malipo bora).