WALE WANAOPENDWA NA ALLAH SWT

 

Makala haya yametarjumiwa na kushereheshwa na:

Amiraly M.H.Datoo
P.O.Box  838
Bukoba – Tanzania

 

Hadithi hii ilisomwa na :
Sheikh Akmal Hussein Taheri – Bukoba

 

 

1.  Allah swt huwapenda  wafanyao ihsani, Al-Qur’an Sura Al-Baqarah (2)  Aya 195

    ‘Waahsinu Innaallaha yuhibbul muhsiniin

      Hakika Allah huwapenda wafanyao wema

 

2. Allah swt huwapenda wafanyao Tawba, Al-Qur’an Sura Al-Baqarah (2) Aya  222

     ‘Innallaha yuhibbut tawwabiina wa yuhibbul mutatahhiriina

       Hakika Allah huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojitakasa.

 

3. Allah swt huwapenda watimizao ahadi wazitoazo, Al-Qur’an Sura Aali Imran (3 ) Aya76

     ‘Balaa Man awfa biahdihi wat-Taqaa fainnallaha yuhibbul Muttaqiin

      …..  Allah huwapenda wajilindao

 

4. Allah swt huwapenda wafanyao subira, Al-Qur’an Sura Aali-Imran Aya (3), 146

     ‘Innallaha yuhibbus-Saabiriin

    Na Allah anawapenda wafanyao subira

 

 

5. Allah swt huwapenda wenye nia halisi, Al-Qur’an Sura Aali-Imran (3), Aya 148

     ‘Wallahu yuhibbul Muhsiniin

       Allah anawapenda wafanyao mema

 

6. Allah swt huwapenda wenye kufanya al-faaf, Al-Qur’an Sura Al-Maidah (5), Aya 42

     ‘Innallaha yuhibbul Muqsitiin

       Bila shaka Allah anawapenda waadilifu.

 

7. Allah swt huwapenda wenye taqwa , Al-Qur’an Sura Al-Tawbah ( 9 ) Aya 4

    ‘Wa’alamu annallaha ma’al Muttaqiin

     Allah anawapenda wanaomuogopa.

 

 

WALE WASIOPENDWA NA ALLAH SWT

 

Makala haya yametarjumiwa na kushereheshwa na:

Amiraly M.H.Datoo
P.O.Box  838 Bukoba – Tanzania

 

Hadithi hii ilisomwa na :
Sheikh Akmal Hussein Taheri – Bukoba

 

 

1.  Allah swt hawapendi  wafasiqi, Al-Qur’an Sura Saffa’ (61), Aya 5

‘Wallahu la yahdil qawmal faasiqiin

Allah hawaongozi watu waovu

 

2. Allah swt hawapendi  wafasidi, Al-Qur’an Sura Al-Maidah (5), Aya 64

     ‘Wallahu la yuhibbul Mufsidiin

      Allah swt hawapendi waharibifu

 

3. Allah swt hawapendi  wadhalimu, Al-Qur’an Sura Al-Tawba (  ) , Aya  19

     ‘Wallahu la yahdil qawma-dhalimiin

      Allah hawaongozi qaumu dhalimu

 

4. Allah swt hawapendi  wasaliti, Al-Qur’an Sura  Al-Haj  (22  ), Aya 38

     ‘Innallaha la yuhibbu kulla khawanina kafur.

      Allah hampendi kila haini, asiyeshukuru

 

5. Allah swt hawapendi  wenye kiburi, Al-Qur’an Sura An-Nahl  (16  ), Aya 22

     ‘Innallaha la yuhibbul Mustakbiriin

       Kwa hakika Yeye hawapendi wanaotakabari

 

The .HTML version of this book is taken from
www.al-islam.org and ebooked by www.ShiaLibrary.com and www.islamkutuphanesi.com . May Allah be pleased with all.